Monday, March 16, 2015

Anonymous

5 PICHAZ: Rose Ndauka Akiwa na Rozzie Family Waonesha Mfano wa kuigwa!

Picha: Rose Ndauka Akiwa na Rozzie Family Watembelea Kituo cha Watoto Wenye Changamoto za Kimaisha
 Mrembo na staa wa Bongo Movies, Rose Ndauka siku ya jana akiwa paomja na team yake ya Rozzie ambao ni watoaji wa jarida la kila wiki la Rozzie walitembelea kituo kimoja cha kulelea watoto wenye changamoto mbali mbali hapa jiji Dar es salaam, mbali na kutoa msaada mbali mbali, Rose na team yake walishiriki michezo mbali mbali na watoto hao. 

“Si kitu kibaya kutenga muda wa kuwafariji wenzetu wenye matatizo, Jumapili ya jana ilikuwa nzuri sana kwa upande wetu tuliweza kuwakilisha  vizuri tu na kucheza michezo mingi na watoto”-Rose aliandika mtandaoni
 
 
 
Hapo juu ni baadhi ya picha ya tukio hilo.
Hongera sana Rose na team yako, muendelee kuwa na moyo huo ili kuonyesha njia kwa wengine.
-bongomovies

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.