Ishu ilikuwa jana, baada ya mechi ya Chelsea na Paris Saint German
fans wa Chelsea wakaingia zao kwenye treni kurudi makwao, lakini
walifanya kitendo ambacho kilionekana kuwakwaza wengi na hata uongozi wa
Club hiyo pia.
Mashabiki hao walimsukuma kumzuia mtu
mmoja ili asipande ndani ya treni hiyo huku wakiimba wimbo uliohisisha
ishu ya ubaguzi wa rangi.
Wakati wakimsukuma walikua wakiimba nyimbo za kibaguzi zilizolenga kumdhalilisha.
“Tutawaadhibu wote waliohusika na
kitendo hiki.. kwenye mpira hatuwezi kuruhusu mambo haya, tumepanga pia
kuomba wachunguzi kutoka UEFA waweze kutusaidia kuwapata wote
waliohusika“-alisema mmoja wa viongozi wa Club ya Chelsea.
Hii hapa chini ni video wakati mtu huyo akisukumwa na mashabiki hao wa Chelsea. Kama kifaa chako hakina uwezo===>>BOFYA HAPA!
Chege & Mh Temba Ft Dj Mapholisa - Kaunyaka (Official Video)
===>>JIONEE HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU
UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.
===>>JIONEE HAPA!
ASANTE NA KARIBU
TENA!


Note: Only a member of this blog may post a comment.