Wednesday, February 18, 2015

Anonymous

Exclusive:Hatimaye Nyota wa Soka wa Kimataifa Mbwana Samatta apata Mtoto wa Kwanza! Muone hapa!

Mshamubuliaji wa TP Mazembe (DRC), Mbwana Allly Samatta ameonyesha yeye simkali wa mabao uwanjani tu anapokuwa na jezi ya klabu hiyo na Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars,Bali hata kitandani anafanya vizuri.

Hiyo inafuatia mchezaji huyo wa zamani wa Mbagala Market, African Lyon na Sima SC kupata mtoto wa kiume aliyempa jina la Kareem.

Mtoto huyo aliyezaliwa Dar Es Salaam wiki iliyopita wakatati baba yake akiwa kazini Lubumbashi,yalipo makao makuu ya Tout Puissant Matembe.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
VIDEO: Hii ilikuwa jana mashabiki wa Chelsea walipomsukuma mtu kwenye treni!
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA! 

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.