Wadau kadhaa wamerusha lawama kwa wahudumu wa hospitali ambayo amejifungulia Mwimbaji wa injili Flora Mbasha kwa kuvujisha picha zilizopigwa ndani ya chumba cha kujifungulia.
Jambo ambalo limezua maswali kwa wengi na kuendelea kuhoji baba wa mtoto huyo? Ndugu msomaji una maoni gani juu ya hili? Wahudumu wametenda haki? Pia wanahoji baba wa mtoto: Je, wana hoja ya msingi?!
Jambo ambalo limezua maswali kwa wengi na kuendelea kuhoji baba wa mtoto huyo? Ndugu msomaji una maoni gani juu ya hili? Wahudumu wametenda haki? Pia wanahoji baba wa mtoto: Je, wana hoja ya msingi?!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.
KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.
ASANTE NA KARIBU TENA!

Note: Only a member of this blog may post a comment.