Friday, February 6, 2015

Anonymous

SAMAHANI KWA PICHA: MWANAJESHI AUAWA KIKATILI NA RAIA JIJINI MBEYA, KISA MKE WA MTU!

Na Calvin Kiluswa. Kandili Yetu, Mbeya
TAARIFA TULIYOIPATA KUTOKA JIJINI MBEYA HIVI PUNDE!
Raia wameua mtu mmoja inayesemekana ni askari wa JWTZ huko Mbalizi  na mwingine yupo mahututi amekimbizwa hospital ya rufaa Mbeya. 


Chanzo cha Mauaji na vurugu hizo ni wivu wa mapenzi askari katembea na mchumba wa raia.
Taarifa zaidi zitawajia hivi punde, endelea kufuatilia www.kandiliyetu.com kwa taarifa zaidi.
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU TENA! 
Picha kwa hisani ya  mdau wa kandiliyetu.com, Calvin Kiluswa, Mbeya

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.