Thursday, February 5, 2015

Anonymous

PICHAZ: USAFIRI MPYA WA DIAMOND PLATINUMZ MMMH...!

Katika interview mbili nimewahi kumsikia Diamond Platnumz akitoa msemo mmoja unaofanana lakini katika hizo interview mbili tofauti, akitabasamu alisema ‘kama nafanya kazi kwa bidii ni lazima niishi vizuri pia, nipate ninavyotaka’
Kwa hii picha ya gari aliyopost Diamond kwenye instagram labda ndio anaendelea kutimiza ndoto zake? Japokua hakuandika chochote baada ya kuiweka picha hii ya gari jipya lisilo na namba, baadhi ya mashabiki wameanza kumpongeza ila bado tunaendelea kumtafuta ili tupate uhakika kama ndio mkoko wake mpya.
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA
 KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA!
-via millardayo

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.