Monday, February 9, 2015

Anonymous

PICHAZ: POZI TATA ZA KIMAHABA ZA MTOTO MZURI BATULI NA KUDUME MMH...!

Kila mtu anajua uzuri na raha ya picha, hizi ni za mwigizaji Batuli akiwa na Joel Joseph wa fresh120media siku ya sherehe yake ya kuzaliwa.
 Watu wanasema picha huzungumza, lakini Batuli mwenyewe asema wao ni marifiki tuu, na sisi tunakubali, lakini wapo ambao wanaona kunachazaidi hapa....
Katika kuona picha hizi zina utata, kwenye moja ya picha hizi Batuli aliandika kwa kumuliza Joel kiutani.

“Can I ask u something!? Joel do u have a girlfriend!? Maana nahisi kama utapigwa hivi...... Halafu unajua nina bae au hujui!? Unajua kazi ya silaha hizi!? (akaweka picha ya visu na bastola)
Wewe je utakubali wako atokelezee namna hii na Me/Ke wako?
Zitto Kabwe Kiboko Yao Aongoza Kwa Wafuasi Wengi Mtandaoni Awazidi Wasanii!
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU TENA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.