Mwenyekiti wa BAWACHA, Halima Mdee (mwenye nguo nyekundu) akitoka mahakamani.
...Akisalimiana na Ofisa wa Oparesheni wa Kinondoni, Emmanuel Tille (mwenye tai) ambaye ni shahidi upande wa jeshi la polisi.
KESI inayowakabili wanachama tisa wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiwemo wanawake wanane wa Baraza la
Wanawake Chadema (BAWACHA) na mwanaume mmoja, leo imeahirishwa na
itaendelea kesho katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es
Salaam.
Watu hao ambao ni pamoja na Mwenyekiti wa BAWACHA, Halima Mdee,
wanakabiliwa na kesi ya kukiuka amri ya jeshi la polisi iliyowataka
wasiandamane 4 Oktoba 2014 katika dhamira ya kupinga katiba
iliyopitishwa na bunge la katiba.
KUMEKUCHA URAIS 2015: Mbowe atembeza BAKULI kwa ajili ya Kuingia Ikulu!===>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU
UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.
ASANTE NA KARIBU
TENA!
(Habari/Picha: Gabriel Ng’osha na Laurent Samatta/GPL)

Note: Only a member of this blog may post a comment.