Wednesday, February 4, 2015

Anonymous

PICHAZ: INATISHA SANA! Wanamgambo wa Kiislam wa ISIS Wamchoma Moto Rubani Mateka wa Jordan Akiwa Hai

Kundi la Dola ya Kiislamu katika Iraq na Sham (ISIS) limemuua kwa kumchoma moto rubani wa Jordan, Moaz al-Kassasbeh.
Kundi hilo lilitoa masharti kwa serikali ya Jordan kuwaachia huru wanachama wake wawili Sajida al-Rishawi na Ziyad Karboli.


Katika mkanda wa video wa dakika 22 uliorushwa na kundi hilo umemuonesha Moaz mwenye umri wa miaka 26 akiwa amevaa mavazi ya rangi ya machungwa huku akiwa amezungukwa na moto.
Moaz alikamatwa na kundi hilo Desemba 24, 2014 baada ya ndege yake aina ya F-16 ilipoanguka wakati ikiruka kaskazini mwa Syria katika harakati za kijeshi dhidi ya kundi hilo. Serikali ya Jordan imelipa kisasi kwa kuwanyonga Sajida al-Rishawi na Ziyad Karboli.
ASKARI MWINGINE AUAWA KIKATILI DODOMA AKITEKELEZA MAJUKUMU YAKE!
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA
 KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.