Thursday, February 5, 2015

Anonymous

PICHAZ: HII NDIYO TOFAUTI YA MAKABURI YA AFRIKA NA ULAYA

Makaburi ya Afrika yanakuwa na mlima kama hivi sehemu ya makaburi huko Afrika inaogopeka sana uwezi kupita usiku na ukipita utashikwa na woga hasa vijijini ni shida hata kujenga nyumba karibu na makaburi hakuna rangi utaacha kuona.
Kwa wenzetu makaburi hata hayana mlima kama ya Africa na unaweza kupita na hata kulala kama umezidiwa na usingizi bila kuogopa.
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA
 KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.