Friday, February 6, 2015

Anonymous

PICHAZ: AJALI YA GARI YAJERUHI ABIRIA MKOANI LINDI

Taswira kutoka eneo la ajali iliyotokea eneo la Mbaje, Lindi.
AJALI hii ilitokea jana eneo la Mbanje kwenye barabara kuu ya Lindi - Dar katika Manispaa ya Lindi ikilihusisha gari la abiria aina ya Toyota Dyna linalofanya safari zake kati ya Lindi na Mpatwa lenye namba za usajili T 412 ASA. Gari hilo lilipinduka baada ya dereva wake kushindwa kulihimili.
NEWS ALERT: WAENDESHA BODABODA NACHINGWEA WAZINGIRA KITUO CHA POLISI!
===>>SHUHUDIA HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU TENA!
(PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715 779)

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.