Kila zilipowekwa, wengi walibonyeza kitufe cha kuzipenda na wengine waliandika maoni yao huku wengi wakiwasifia kwa jinsi walivyopendeza, na wengine walienda mbali zaidi kuwa wamependezana hivyo ingependeza hii iwe ni Le PROJECT mupyaaa.
Tujirekebishe jamani hata kama watu huwapendi sio vyema kutumia akaunti feki na kutukana watu kwa chuki zako binafsi.
Hapa Wema na Ommy Dimpoz mmetokeleze, pokeeni LIKE!!
Mzee wa Ubuyu.
JIUNGE
NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU
UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU
TENA!




Note: Only a member of this blog may post a comment.