Wednesday, February 4, 2015

Anonymous

PICHA ZA MJENGO WA GHOROFA LA JUX NI GUMZO MTANDAONI!

Jux ni jina jingine bongoflevani kwa nyimbo nzuri kama ‘uzuri wako‘ na nyingine zikiwemo kolabo kama ya Young Dee ‘sio mchoyo’ 

Stori kwenye headlines now ni mjengo alioujenga Jux… ambapo sasa rasmi ameingia kwenye list ya mastaa wa bongo na mijengo yao akiwemo Shilole anaejenga, Diamond Platnumz ambae inaripotiwa anakaribia kuhamia kwake, pia Nay wa Mitego pia anayejenga ghorofa wakati Idris Sultan mshindi wa BBA 2014 amehamia kwenye nyumba yake wiki iliyopita. 
Baada ya Jux kupost picha ya nyumba yake Jux alionyesha furaha yake akitamani kuhamia baada ya kutimiza ndoto zake.
 PATA HABARI HARAKA ZITUFIKIAPO.
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA
 KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.