Sunday, February 15, 2015

Anonymous

NI HISTORIA! [PICHAZ] CHRISTIAN BELLA AFUNIKA MBAYA VALENTINE'S DAY, DAR LIVE!

Christian Bella akiimba na mashabiki wimbo wa Usilie.
Bella akiwakonga mashabiki jukwaani.

Bella akimpa maiki mmoja wa kinamama waliojitokeza jukwaani kuimba Wimbo wa Nani Kama Mama.

Wanenguaji wa Malaika Music wakifanya yao jukwaani.
Baadhi ya mashabiki wakijiachia kwa kucheza Wimbo wa Nakuhitaji wa Christian Bella.

Umati wa mashabiki wakimfuatilia Bella (hayupo pichani) alipokuwa akiimba Wimbo wa Usilie.
MFALME wa masauti 'Christian Bella' akiwa na bendi yake ya Malaika Music wameandika historia mpya ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live, Mbagala. 

Bella alianza kwa kuimba nyimbo zake kali za mapenzi kama vile Msaliti, Usilie, Nakuhitaji sambamba na kutambulisha wimbo wake mpya wa Nashindwa. Burudani ilinoga zaidi pale alipomaliza kwa Wimbo wa Nani Kama Mama huku akiimba pamoja na wakinamama wote waliojumuika naye jukwaani.
Hii ndiyo aina ya mwanamume anayempenda Lady Jaydee! 
===>>SOMA ZAIDI HAPA!

(Habari/Picha: Richard Bukos)

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.