Habari tulizozipata hivi punde ni kwamba mwanamme mmoja na mwanamke wamekutwa wamenasana wakati wakifanya mapenzi kichakani katika milima ya Don bosco iliyopo karibu na Shule ya Sekondari Donbosco katika kata ya Didia wilaya ya Shinyanga vijijini mkoani Shinyanga.
Kandili yetu imeambiwa kuwa watu hao wamekutwa wamenasana katika mlima huo jioni hii wakati wakivunja amri ya sita huku ikidaiwa kuwa mwanamke huyo ni mke wa mtu.
Inaelezwa kuwa mwanamme ni mwendesha bodaboda anayefanya safari zake kutoka Didia hadi Buyubi na mwanamke anadaiwa kuwa mkazi wa kijiji cha Chembeli.
Tutawaletea taarifa kamili hivi punde endelea kutembelea mtandao wako huu maridhawa!

JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU
UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.
ASANTE NA KARIBU
TENA!
-via malunde1

Note: Only a member of this blog may post a comment.