Saturday, February 14, 2015

Anonymous

MAKUBWA NA MAZITO HAYA: DUDE NA AKILI MBOVU YA KUTOKUOA!

Stori: Imelda Mtema/Risasi 
STAA wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba, amesema licha ya kuishi na mzazi mwenzie kwa zaidi ya miaka kumi, anashindwa kuoa kwa sababu akili yake siyo nzuri.
Staa wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba.
Akipiga stori mbili tatu na mwanahabari wetu, Dude alisema linapokuja suala la kulaumiwa kuchelewa kuoa, anastahili kwani hakuna kitu kinachomsababisha asioe zaidi ya akili yake kuwa mbovu. 

“Mimi akili yangu tu bwana ndiyo mbovu, hakuna kitu cha ziada ninachoweza kujitetea, kama kuona ningeoa siku nyingi sana, nashindwa basi tu,” alisema Dude.
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.