Hatimaye Wastara Amwita Mr Bond Mpenzi wake hadharani , leo ni siku ya kuzaliwa kwa MR Bond na wastara ambae kwa muda mrefu amekuwa akihisiwa kuwa na mapenzi ya Siri na Bond Ameandika maneno haya:
"Happy birthday Bond Bin Sinnan Mungu akupe umri mrefu, sina jipya la kukwambia maneno yoote umeshayasikia midomoni kwa watu ila touti ni vitendo tu ambavyo si vyote uliwahi kuviona na kufanyia hicho.ndicho minachokuahidi kitakuwa kipya katika maisha yako mapya unayoyaanza ya kutimiza miaka kadhaa leo hii mungu.ni mwema na mwingi wa huruma na kutoa pale anapoombwa tumwamini yeye anaweza kutuoa kilakitu mungu akutangulie katika siku yako hii ya kuzaliwa".Muda kidogo akaibuka na huu mara baada ya kuweka picha hiyo juu;
“We ni zaidi ya manager katika kazi, ni zaidi ya rafiki katika upendo kwa kweli mungu ni mwema kwa kukuleta duniani na ninaimani anakila sababu za kukufanya uishi miaka mingi ukiwa na afya njema, furaha na mafanikio zaidiNafurahia kuwa nawe karibu maishani mwangu. Happy birthday my Manager, my Director, my Friend, my boy and my Lov..Happy birthday".
Kandili Yetu Inamtakia Mr Bond Happy Birthday, Mtunze Wastara Akutunze.
DIAMOND PLATINUMZ: Ningekuwa na Sauti Kama ya Ally Kiba, Ningefanya Makubwa Zaidi!
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE
NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU
UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
ASANTE NA KARIBU
TENA!
-Udaku Special



Note: Only a member of this blog may post a comment.