Wednesday, February 4, 2015

Anonymous

CHEKA UNENEPE: SIKILIZA UTANI HUU BABA LEVO KWA DIAMOND PLATINUMZ!

Baba Levo ni msanii ambae kwa siku nyingi wengi wamekua wakimjua jinsi alivyo na uwezo wa kuchekesha, amekua akifanya utani kwa Wasanii wenzake na hata watu mtaani.
Utani wake umeanza kumpa nafasi ya kusikika kwenye show ya AMPLIFAYA CloudsFM kila saa moja usiku ambapo Jumanne Feb 3 2015 alisikika na utani kuhusu msanii Diamond Platnumz, msikilize kwa kubonyeza play hapa chini.

PATA HABARI HARAKA ZITUFIKIAPO.
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA
 KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA!
-millardayo

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.