Thursday, February 19, 2015

Anonymous

BREAKING NEWS: [PICHAZ] BASI LA KIDIA ONE LAGONGANA USO KWA USO NA LORI DODOMA!

 HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE: Ajali mbaya imetokea mchana huu huko Mbande, Dodoma baada ya basi la Kidia One kugongana uso kwa uso na lori. Basi hilo limeharibika vibaya mno, inasadikika watu wengi wamepoteza maisha. Endelea kufuatilia zaidi hapa kandiliyetu.com kwa taarifa zaidi!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.