NYOTA wa filamu kitambo, Lungi Maulanga anadaiwa kuwa katika bifu
kali na mwenzake Tamrina Poshi ‘Amanda’ kwa kile kinachotajwa kuwa ni
mmoja wao kumponda mwenziye akimsema kuwa anaenda nje kujiuza.
“Unaambiwa Lungi baada ya kuambiwa hivyo alikasirika na kumpigia simu Amanda wakaanza kutukanana kiasi cha kufikia hatua ya kutaka kuchapana,” kilisema chanzo chetu.
Baada ya habari hii kutua mezani, mwandishi wetu alizungumza na wote
wawili ambapo Lungi alikiri kutofautiana na mwenzake kwa alichosikia,
wakati Amanda alikanusha kuwa na ugomvi na mwenzake na kwamba hajaongea
naye kwa simu kwa muda mrefu kwani hata namba yake hana.
“Unaambiwa Lungi baada ya kuambiwa hivyo alikasirika na kumpigia simu Amanda wakaanza kutukanana kiasi cha kufikia hatua ya kutaka kuchapana,” kilisema chanzo chetu.
MAKAVU LIVE: NAY WA MITEGO USIPOJIPANGA TUTAKUPANGA!
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE
NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU
UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU
TENA!
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
-Risasi Mchanganyiko


Note: Only a member of this blog may post a comment.