Wednesday, February 4, 2015

Anonymous

BEI YA MAFUTA ILIVYOKUWA LEO JIJINI DAR BAADA YA KUSHUSHWA

Kituo cha mafuta cha PUMA - Mwenge.
OIL COM, Kifungira, Mwenge.

TOTAL, Mlimani City, Mwenge.

BIG BON, Mori, Sinza.
GBP, Mapambano, Sinza.

BAADA ya jana Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) Felix Ngamlagosi kutangaza bei mpya ya petroli kutoka Sh.1,955 hadi Sh1,768 kwa lita ikiwa ni punguzo la Sh.187, sawa na asilimia 9.56 kwa bei ya rejareja, kuanzia leo imeanza kutekelezwa. 

Hii ni mara ya pili katika kipindi cha siku 28 kwa (Ewura)kushusha bei. Mara ya mwisho ilikuwa Januari 7, iliposhusha kutoka  Sh.2,097 hadi Sh.1955 kutokana na kushuka kwa bei ya nishati hiyo katika soka la dunia. 

Mwandishi wetu wa Global Publishers amezungukia baadhi ya vituo vya mafuta vya jijini, Dar es Salaam na kukuta baadhi ya bei zikiwa zinatofautiana huku baadhi ya vituo vikionekana bei kushuka sana kama ifuatavyo. 

TSN – Bamaga, Mwenge
Petroli – 1,768.
Diesel – 1,708.
PUMA - Mwenge
Petroli – 1,768.
Diesel – 1,708.
OIL COM, Kifungira, Mwenge
Petroli – 1,768.
Diesel – 1, 708.
TOTAL, Mlimani City, Mwenge
Petroli – 1,768.
Diesel – 1,708.
BIG BON, Mori, Sinza
Petroli – 1,768.
Diesel – 1, 708.
GBP, Mapambano, Sinza
Petroli – 1,720.
Diesel - 1,660.

AJALI MBAYA: [PICHAZ] NDEGE YAANGUKIA MTONI NA KUUA WATU 12 
===>>SHUHUDIA HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA
 KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA!

(PICHA, STORI: DENNIS MTIMA/GPL)

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.