Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Ambwene Yessaya ‘AY' akipozi.
Stori: Shani Ramadhani STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Ambwene Yessaya ‘AY’ amefunguka kuwa maprodyuza wengi waliopo Afrika Kusini ‘Sauz’ wanapata faida kubwa sana kutoka nchi za Afrika hasa Tanzania kupitia muziki.
Akichonga na Over The Weekend, AY alisema wasanii walio wengi kutoka Bongo wamekubaliana na gharama zao ndiyo maana wanakwenda kurekodi huko kuanzia ‘audio’ mpaka video.
“Sauz sasa hivi imekuwa kama moyo wa muziki kwa Wabongo kutokana na kila mmoja kukimbilia huko kwa sababu tu kuna waandaaji wengi wa muziki. Wanawanufaisha sana, natamani na sisi siku moja Wasauz wakimbilie Bongo kurekodi,” alisema AY.
DUNIA IMEKWISHA: BABA AMLAWITI MWANAYE WA MIAKA 9 HUKO MASASI!
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE
NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU
UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU
TENA!


Note: Only a member of this blog may post a comment.