Thursday, December 22, 2016

Unknown

Video: Cheki Goli Bora la Msimu 2015/2016 Lililompa Tuzo Pierre Emerick-Aubameyang

Mshindi wa tuzo ya  mchezaji bora Afrika kwa mwaka 2015 Pierre Emerick-Aubameyang leo December 21 2016 ametangazwa mshindi wa tuzo ya goli bora la msimu wa 2015/2016 wa timu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani. 

Aubaneyang ambaye ni mchezaji wa kimataifa wa Gabon ameshinda tuzo hiyo kufuatia goli lake alilowafunga wakati wa mchezo wa Stuttgart dhidi yao Borussia Dortmund, hiyo ni tuzo ya pili na Aubameyang anafikiria kujituma na kutwaa tuzo hiyo kwa mara ya tatu.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.