Thursday, December 22, 2016

Unknown

DIAMOND Platinumz Alamba Mamilioni ya CAF, Kutumbuiza Uzinduzi wa AFCON 2017

Shirikisho la soka barani Afrika, CAF limemchagua Diamond Platnumz na kumlipa mamilioni kutumbuiza kwenye sherehe za uzinduzi wa michuano ya mataifa Afrika yatakayofanyika nchini Gabon maarufu kama AFCON 2017

Michuano hiyo itafanyika mapema mwakani 2017. Uganda ndio taifa pekee ya Afrika mashariki lililofanikiwa kufuzu mashindano hayo.
Akiongea kwenye kipindi cha Times Fm manager wa Diamond Sallam ameongeza kuwa Diamond tayari ana booking mpaka Julai 2017. Kama unamtaka inabidi usubiri hadi Julai mwakani.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.