Monday, December 26, 2016

Unknown

Picha Nyingine 20 za Diamond na Jeshi Lake Walivyozikonga Nyoyo za Wapenzi wa Muziki Iringa!

Baada ya December 24 kuangusha show kwenye fukwe za Jangwani Sea Breeze, jijini Dar es Salaam, timu nzima ya WCB ilielekea Iringa kushererehea sikukuu ya Christmas kwa show kubwa kwenye viwanja vya Samora.

Wakiongozwa na bosi wao, Diamond Platnumz, wasanii wengine wa WCB walioangusha show ni pamoja na Rich Mavoko, Raymond, Harmonize na Queen Darleen. Picha zinaonesha jamaa walivutia nyomi ya kutosha. Jionee picha hapo chini.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.