Mwanaume mtakatifu ni yule anayemuachia maamuzi yote mwanamke, akiamini anaonyesha upendo wa hali ya juu na ndio utamfanya mwanamke akae na kupendezwa na yeye zaidi; mwanamke anapenda mwanaume kiongozi, anayejiamini na kujua jinsi ya kujisimamia, huenda hili litakushangaza.
Mwanamke anapenda kupewa changamoto na kuchemshwa akili, maana hunamfanya awe anakufikiria zaidi na kutaka kukujua na kukubadilisha na hivyo hamasa yake juu yako kuongezeka na kuvutiwa na wewe zaidi.
#1, Unamkubalia kwa kila kitu anachotaka
Msimamo na kujiamini ni kitu ambacho hukutengenezea heshima kwa mwanamke, unatakiwa uonyeshe uanaume wako, akikwambia kitu kiangalie kwa marefu na mapana na toa jibu kulingana na uonavyo na si kukubaliana naye kwa kila kitu.
#2, Unahisia kupitiliza, unamuhitaji kuliko
Kila kitu kinanafasi, ukikizidisha hauwezi kuuona uzuri wake tena. Hata mapenzi nayo yanahitaji nafasi, ukimuhitaji mwanamke muda wote unataka kuwa naye mapenzi hayawezi kunoga zaidi ya kukinahiana.
#3, Unaomba msamaha kwa kila kitu
Kila kitu si cha kuomba msamaha, ukiwa unaomba msamaha kwa kila kitu unakuwa unapoteza thamani ya neno na kumfanya msichana asijisikie vizuri na kukuona wa ajabu hali inayopelekea kujishushia heshima yako kwa ujumla.
#4, Una aibu kupindukia
Aibu mara nyingi inatokana na kutojiamini na kutofahamu thamani yako, kitu cha kwanza mwanamke anachopenda kukiona kwa mwanaume ni jinsi anavyojiamini, aibu itakufanya thamani yako ipungue kwake na hata kama alikuwa amependezwa na wewe basi hamasa itaanza kupungua.
#5, Unamsubiri kwa kila kitu mpaka aanze yeye
Mwanaume kwa mwanamke ni kiongozi, iwapo utashindwa kuwa na msukumo wa kuanzisha mambo atakuona kama ni mtu usiyejua jinsi ya kujisimamia na wala huwezi kufanya kitu chochote cha maendeleo na itasababisha akudharau kwa hilo na utapoteza sifa ya kuwa naye.
#6, Hauwi mbunifu
Mapenzi yanahitaji ubunifu, kama mwanaume unatakiwa kuwa mbunifu wa kubadilisha mambo na mazingira ili kumuongezea hamasa juu yako, tambua jinsi ya kumfanya atabasamu ambapo amenuna, na kumfanya avutike zaidi na kupendezwa zaidi na wewe.
#7, Huoneshi mipaka yako na hausemi hapana
Kila mtu anamipaka yake, iwapo amekuudhi hakikisha unafanya kitu kitakachomfahamisha amevuka mipaka, kama kuna kitu kimekukera sema hapana, onesha unavyojiamini na usionekane bwege na kukufanya akudharau.
#8, Unaona heri akuumize moyo kuliko kuachana nae
Kung’ang’aniza mapenzi ni kitu kibaya sana, kunamfanya mwenza wako akudharau na kukuondoa kabisa moyoni, hata kama kulikua na hamasa ndogo imebaki basi lazima ipotee, tambua mipaka yako na kama mapenzi yamefika mwisho fahamu muda wa kuondoka.
#9, Unatumia muda mwingi na yeye pamoja na marafiki zake
Marafiki wake wakikuzoea sana, dharau huanza maana utakuwa mtu wa kawaida tu, marafiki zake wakishakudharau ujue huna nafasi tena.
#10, Unamnunulia zawadi kila muda bila sababu na kutoa sifa pale zisipohitajika
Zawadi ikizoeleka inapoteza uzito wake na sifa nazo vivyo hivyo zikiongewa sana zinakua hazina mvuto tena zaidi ya kushusha hamasa yake na kukuona wewe ni wa mzaha.

Note: Only a member of this blog may post a comment.