MITEGO: Mpenzi Wangu Analilia Nimnunulie Gari Kukwepa Miluzi Barabarani
Asikuambie
mtu presha ya mwanaume yoyote ipo pale anapojua kuna mbaya wake anataka
kufaidi ile raha anayoipata yeye naumia kila niwapo faragha na mpenzi
wangu nikiwaza vitu hadimu anavyonipa bila hiyana bila uchoyo na mchezo
anavyouweza hadi nachanganyikiwa mtoto kweli mashalaaaa akitembea
utadhani kadondoka hajazaliwa.
Mtoto kaja juu kuwa akitembea
mitaani watu wanapiga kelele na miluzi sana kwa wingi kitu kinachomkera
sasa kaja juu kua nimnunulie gari maana kazichoka hizi kelele nashindwa
nifanyeje kwa kweli, naumia sana na nikiwaza tuu nahisi kuchanganyikiwa
mimi.
Nifanyeje niudhibiti huu mzigo?
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Filed Under:
MAPENZI
on Thursday, December 29, 2016
Note: Only a member of this blog may post a comment.