Serikali imelipa muda wa miezi 3 Shirika la NHC, likamilishe nyumba zote inazozijenga kwa ajili ya kuwauzia wananchi kwa bei nafuu.
Hata hivyo Waziri huyo amelitaka Shirika hilo la Nyumba la Taifa kufikiria sasa kupunguza gharama za uuzaji wa nyumba hizo, kwani amesema wananchi wengi wa kipato cha chini wameshindwa kumudu gharama za ununuzi wa nyumba zake kutokana na ukubwa wa gharama hizo.
Note: Only a member of this blog may post a comment.