Daraja la Beipanjiang linalopatikana huko nchini China lipo mita 570 juu ya kiwango cha usawa wa bahari na urefu wa mita mita 1,350.
Mradi wa ujenzi wa daraja hilo umemalizika ndani ya miaka mitatu na kugharimu takriban dola milioni 150.
Mnamo mwaka 2009 daraja la Sidu pia lilizinduliwa na kutambulika kuwa daraja refu zaidi duniani wakati huo lakini kwa sasa daraja hili la Beipanjiang ndilo daraja linalotajwa kuwa refu zaidi duniani.
Unaweza kujionea zaidi kwa picha hapa chini:
Note: Only a member of this blog may post a comment.