Vilivyopelekea kua na nguvu za kiume haswa siyo vijana wa leo wameishia vyakula vya kusindika na kutwa kwenye mitandao kuwatch porno na pia siyo kwamba zamani punyeto haikuepo ila walikua wanapiga kubalance ila vijana wa leo kutwa wanapiga punyeto mara 4 hii hatari sana imepelekea mtu akipata dem anakimbilia bar kushitua konyagi, zanzi, ili aboost na mkiwa faragha ni vidole tuu vinatawala muda mwingi nani kakuambia.
Mwanamke anahitaji vidole kwani yeye hana vidole? unasokomeza huko vidole tena vichafu unaleta bacteria bhana... kidole kina utaalam wake si kukisokomezea humo mavidole.. poleni sana kula vyakula vya asili, fanya mazoezi, ndiyo siri kumridhisha mwanamke ni mchezo mdogo tuu si lazima konyagi zanzi, bia harufu inaleta kero sana........ na finger khaaa!
Note: Only a member of this blog may post a comment.