Leo October 6 2016 kupitia Hekaheka ya Clouds FM wametuletea hii ya kijana kumpiga na kumjeruhi mpenzi wake na kupost picha za utupu za mpenzi wake chanzo kikielezwa ni wivu wa mapenzi.
>>>’Damu nyingi sana zikaanza kunimwagika lakini hakuona huruma akaendeleza kunipiga, akawa ananipigiza kwenye ukuta mpaka nikawa nasikia kizunguzungu’
>>>’Akaniambia vua nguo zote kaa hapo kwenye kochi, nikawa nimekaa akaanza kunipiga picha akasema anapost facebook, sikuwa na cha kufanya kwa sababu hakukuwa na mtu wa kunisaidia’
Jackson Mkumbo, anayethumiwa kumpiga mpenzi wake na kumpost mpenzi wake picha za utupu
Kupata full stori unaweza kubonyeza play hapa chini

Note: Only a member of this blog may post a comment.