Ni fahari kubwa kuona Muziki wa Nyumbani unakubalika nje ya mipaka ya Tanzania, Diamond Platnumz amezikamata headlines tena baada ya mwigizaji kutoka Nigeria Chinedu Ikedieze anayefahamika kama ‘AKI’ kutoa comment kuhusiana na hit song yake mpya ‘Salome’ kwenye account yake ya Instagram kuusifia wimbo huo na haya ndiyo aliyoyaandika.
>>’Ds is Classical. I don’t understand lyrics but d correlation of d beats is BLOODY.Kudos bro! I’m a BIG fan #ChineduIkedieze#DiamondPlatnumz’



Note: Only a member of this blog may post a comment.