Kama unakumbuka July 5, 2016 mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz aliingia kwenye headlines mitandaoni baada ya kupost kwenye Instagram kuhusu watu kujitokeza kwa wingi kwenye show ambayo imeandaliwa na mpenzi wake wa zamani Wema Sepetu pamoja na Christian Bella na Idris.
>>”Hivi huku patakuwa ni kupatwa kwa nini….??? Tisha sana#SALOME wake @idrissultan full Video link in my BIO and @rayvanny BIO…..Shukran sana @vodacomtanzaniakwa intanet yenye kasi Zaidi inayoniwezesha kuwapa habari Mashabiki zangu Mara kwa Mara… #VodacomKaziNiKwako#VodacomHapaKasitu”



Note: Only a member of this blog may post a comment.