Msimamo wa EPL baada ya mchezo huo
October 31 2015 Liverpool walimfunga Chelsea tena goli 3-1 katika uwanja huo, mara ya mwisho Chelsea kumfunga Liverpool katika uwanja wa Stamford Brigde kwa mechi za Ligi Kuu ilikuwa December 29 2013 na alimfunga goli 2-1
Note: Only a member of this blog may post a comment.