Thursday, August 18, 2016

Unknown

Idris Sultan wa WEMA Sepetu Kajiondoka Kwenye Mtandao wa Instagram

Kama utakuwa unakumbuka mwaka 2015 msanii kutoka kwenye tasnia ya Bongo Movie, Elizabeth Michael aliingia kwenye headlines za kujiondoka kwenye mtandao wa instagram kutokana na matatizo yake binafsi.
Sasa leo August 17 2016 Idris Sultan anazimiliki headlines mitandaoni baada ya kuchukua maamuzi ya kujindoka kwenye mtandao wa instagram bado haijajulikana tatizo ni nini ila Kandili Yetu inaendelea kufuatilia kwa kina ili kujua sababu za staa huyo kujiondoa.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.