Wednesday, July 6, 2016

Unknown

ZAMARADI Atoa Kauli Kuhusu Kipindi Chake Alichomuhoji Shoga... Aelezea Mazito!

Kama utakuwa unakumbuka hivi karibuni mtangazaji wa Clouds TV, Zamaradi aliingia kwenye headlines za kufanya mahojiano na mwanaume anayejihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

Sasa leo July 5, 2016 amezungumza na kueleza kile ambacho alikuwa akitarajia baada ya kurusha mahojiano hayo na kusema….‘Nilitarajia kwamba kuna watu watakuwa hawanielewi kwa kile nilichokuwa nakifanya na yule mtu, kwahiyo nilijua kwamba kuna aina ya watu ambao ni vigumu sana na kama utakuwa unakumbuka kabla ya kuanza kipindi nilisema najua kuna watu watanikosoa kwa kile ninachokirusha kwahiyo impact imekuwa kubwa’- Zamaradi
-via millardayo

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.