Wednesday, July 6, 2016

Unknown

Video: Mtoto wa Barack OBAMA, Malia Asherehekea Siku Yake ya Kuzaliwa Hivi

Ni bahati siku yako ya kuzaliwa ikiwa imeambatana na siku muhimu ya kumbukumbu kwenye nchi yako.
Jumatatu hii mtoto wa rais wa Marekani, Barack Obama, Malia alitimiza miaka 18 ikiwa ni siku ambayo nchi ya Marekani ilikuwa ikiwakumbuka wanajeshi wake mashujaa kwenye nchi hiyo. Kendrick Lamar na Janelle MonĂ¡e ni wasanii pekee walioalikwa kwenye sherehe hiyo kwa ajili ya kufanya show.

Akihutubia wakati wa sherehe ya kuzaliwa ya binti yake huyo, Obama alisema, “These two I’ve gotten a chance to know and they’re both amazing artists and talented and popular and doing great things.”

“But they’re also very conscious of their responsibilities and obligations. They put in a lot of time and effort on behalf of a lot of causes that are important and I’m really proud of them for that,” aliongeza. 
Tazama video hapa.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.