Tuesday, July 5, 2016

Unknown

RASMI: Mufti Mkuu wa Tanzania Atangaza Kesho Jumatano ni Sikukuu ya Eid el Fitri

Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeiry ametangaza kuwa kesho Jumatano 6/7/2016 ni Sikukuu ya Eid el Fitri.
Timu ya Kandili Yetu inawatakia Waislamu wote sikukuu njema.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.