Friday, May 20, 2016

Anonymous

VIDEO: Mbunge Yusuph MANJI Anaila TANESCO... Lema wa CHADEMA Afunguka!

Akichangia bajeti ya Wizara ya Nishati Na Madini leo Bungeni Mh.Lema ameishangaa kampuni ya TANESCO kumpa tenda Manji kuagiza Transformer toka India wakati Malawi Na Msumbiji wananunua Transform toka Tanzania.

"Mheshimiwa Mwenyekiti inashangaza kuona Malawi Na Msumbiji wakinunua Transformer toka Tanzania, lakini TANESCO wamekuwa wakimtumia Manji Na kumpa Tenda ya kuagiza Transformer toka India kwa bei ya Mara mbili hadi Tatu zaidi ya bei iliyopo nchini." Nimemunukuu Lema

NB: Hii nchi ngoja Magufuli aindeshe hivi hivi kwanza hadi tukae sawa, maana kwa tulikofikia inahitaji akili ya kiuendawazimu kuirudisha.
Asante Lema kwa kumsaidia Rais kutumbua majipu!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.