Tuesday, June 16, 2015

Anonymous

ALICHOKIANDIKA LADY JAYDEE SIKU YAKE YA KUZALIWA JANA!

Ikiwa jana ni siku ya kuzaliwa kwa Lady Jaydee hivyo kupitia ukurasa wake wa Instagram amendika hiki.
 
"Leo ndio bday yangu sasa June 15th Jana ilikuwa party tu Am a proudly Gemini. Na huyu ndio mtu pekee ninae ishi nae ndani ya nyumba tuko wawili tuuuuuu. Nikianguka ndio atakuwa wa kwanza kutoa taarifa msimuone hivi anajua kiiiiila kitu na anaongea kama mtu mzima."

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.