Saturday, February 20, 2016

Anonymous

Ogopa Sana Ukisikia Mtu Anavunja Chungu Arusha… Ijue Hii ya Mila za Kimeru


Kama ulikua hujui ni kwamba kwenye mila za kabila la Wameru lenye makazi yake Arusha Tanzania zinakitu kinaitwa kuvunja chungu…. sasa siku chache zilizopita lilisambaa tangazo la kuvunja chungu baada ya jamaa mmoja kuibiwa redio yake ya gari na shilingi milioni moja, stori kamili na jinsi chungu kinavyovunjwa ipo kwenye hii video hapa chini

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.