Wednesday, May 4, 2016

Anonymous

Unaweza Kutangaza Ndoa Ukiona Picha Hizi Mpya za SHILOLE

Shilole anawaka, anang’aa na anaweza kukufanya utangaze ndoa ukiona picha hizi mpya.

Muimbaji huyo yuko mbioni kuachia kazi mpya ambayo huenda ikaitwa ‘Say Ma Name.’

Amepost picha kwenye Instagram na kuandika, “Mungu ww ndo unajua uliponitoa Na unajua ninapokwenda! Hujawahi kuniangusha hata mara moja! Na unajua napambana kiasi gani na hii dunia uliyoniweka. Ewe Mungu nisaidie kwa kazi yangu hii mpya wote Tuseme Amen #saymaname soon.”

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.