May 12 2016 ripoti zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kwa baadhi ya mastaa wa filamu na Muziki nchini, kuhusiana na taarifa ya kufariki kwa mmoja kati ya wachekeshaji maarufu nchini Tanzania, Mohammed Abdallah (Kinyambe) kutoka kwenye maigizo ya Vituko Show.
Taarifa hii imethibitishwa na ndugu zake wa karibu.
Note: Only a member of this blog may post a comment.