Saturday, May 14, 2016

Anonymous

Serikali Yasalimu Amri... Yaipa NIDA Sh Bilion 2.3 Kulipa Watumishi 597 Waliosimamishwa Kazi

Serikali imeipa Shilingi Bilioni 2.3 Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA), kwa ajili ya kuwalipa watumishi 597 waliosimamishwa kazi.
Malipo hayo yanahusisha mishahara yao ya miezi minne, ukiwemo mshahara wa mwezi mmoja wa notisi ya kusimamishwa kazi, pamoja na malimbikizo ya madeni yao katika mifuko ya hifadhi ya jamii.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.