Penzi La Harmonize Na Jacqueline Wolper Lazidi Kukua Jionee Mwenyewe (+Pichaz)
Mwanzo walianza kama kick lakini kwasasa wanaonekana kama wapo serious.Harmonize mwanamuziki wa Bongo Fleva kutoka WCB ambaye kwa sasa anatoka kimapenzi na Jacqueline Wolper ambayeni x wa Diamond Platnumz. Picha hizi walizotupia mtandaoni zimezidi kuling'arisha penzi lao.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Note: Only a member of this blog may post a comment.