Friday, May 20, 2016

Anonymous

NAZIZI Aanza Kuwatisha Wababe Mtaani!

Rapa wa kike kutoka nchini Kenya, Nazizi amepost picha zilizoanza kuwatisha wababe wa mtaani.
Nazizi aliwahi kuwa rapa pekee kwenye kundi la East African Bashment Crew na kufanikiwa kutengeneza jina ukanda wa Afrika Mashariki.

Kutokana na picha alizopost sasa Nazizi anonekana ameanza kuiva kwa mazoezi anayoyafanya chini ya mwalimu wake Zola D na kuwafanya watu waanze kumuogopa pindi wakimuona mitaani anakatisha.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.