Monday, May 23, 2016

Anonymous

Breaking News: Watu Zaidi ya 10 Wahofiwa Kufariki Ziwa Nyasa


Habari iliyoripotiwa na kituo cha television cha ITV muda mfupi uliopita imeeleza kuwa watu zaidi ya 10 wanahofiwa kufariki dunia katika ziwa nyasa baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kutoonekana kwa siku mbili huko Mbamba Bay mkoani Ruvuma.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.