Monday, April 11, 2016

Anonymous

Sahau za Mwanzo, Hizi ni Picha Nyingine 9 za Harusi ya ROMA Mkatoliki


Ilikuwa ni April 9 2016 ambapo mkali wa Hip Hop Roma Mkatoliki aliingia kwenye headlines za kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu ambaye wana mtoto (Ivan), ndoa hiyo imefungwa nyumbani Tanga.Hapa nimekuwekea picha tisa za harusi hiyo








 
-via millardayo

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.