Tuesday, April 5, 2016

Anonymous

Picha zinatisha: Kweli Michepuko Sio Dili, Awamwagia Tindikali Kisa Wivu wa Mapenzi

Kwa mujibu wa taarifa nlioipata toka kwa group la WhatsApp inasema;
Mdada mmoja ambaye ni mpendwa aliomba ruhusa kwa mumewe kuwa anaenda kwa maombi /mkutano wa injili Mbeya jamaa akamkubalia kumbe moyoni ana yake. Mke alipotoka kupanda daladala mume naye akapanda la kwake walipofika stand mdada akapanda gari ya Kyela na mumewe nae akamfata (bila mke kujua).

Mwanamke akafika guest na mchepuko ulikua ushafika na mume naye akafikia guest hiyo hyo bila bibie kujua, sasa baadae usiku mume akaenda kugonga chumba cha bibie na mchepuko bila kujua wakafungua mlango.
Mume alikua na tindikali iliomichanganywa kwa "uweledi" wa hali ya juu, akawamwagia na mwishowe akajimwagia pia.
Hizo picha ndo matokeo ya tindikali.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.