Diamond Platnumz usiku wa April 6 kuamkia April 7 2016 aliingia kwenye headlines baada ya kupost picha inayomuonesha akiwa kavaa kipini puani, picha ambayo imepata comment nyingi kutokana na watu wengi kushangazwa kwa kitendo hicho, bado millardayo.com haijapata majibu kutoka kwa Diamond kama kweli katoboa pua au la.
Post ya Diamond
Kama utakuwa unakumbuka vizuri Nay wa Mitego aliwahi kumkosoa Chid Benz katika wimbo wake wa “Nasema nao“ kuhusu uamuzi wa kutoboa pua, ila picha ya Diamond Platnumz aliipost katika account yake ya instagram na kuandika “naytrueboy Baba Tiffah you look mmmwaaah, @diamondplatnumzumenogaaaaa mwananguuuuuuuuuu..!! Hukoseagi yaniiii.! Mapovuuuuuuuuu sasaaaaa
#ShikaAdabuYakoooo
Hii ni post ya Nay wa Mitego
Hii ni post ya Stan Bakora ambaye aliipost muda mchache baada ya Diamond kupost
Hizi ni baadhi ya comment za mashabiki wa Diamond Platnumz
molas_777_photosAhh Chris Brown pia katoboa…kamwangalieni kwenye page take….
justine_da_santos@kasalaibra_mikono_michafu hilo ni fumbo kwenu msioelewa labda nikusaidie tu chibu ajatoboa pua hyo ni project mpy ngoj niishie hapa
dulla.starfitnessMy nigga. Looking great #nosepeacing Haters gonna hate always!!
mocstornadoWabongo wamemaindi kinyama.. utadhani katumia bajet ya serikali kutoboa. @millz_

Note: Only a member of this blog may post a comment.